Baby Come Back.........

Mmmmhhhh
 
ah ah ah kwangu ulikuwa boarding xul,so mm kama mwl nilitumia mda wangu mwingi kukufundisha,msalimie mkeo hope unakumbuka mafunzo yangu eeeh?
Hivi ulinitumia au tulitumiana??????
 
ah ah ah kwangu ulikuwa boarding xul,so mm kama mwl nilitumia mda wangu mwingi kukufundisha,msalimie mkeo hope unakumbuka mafunzo yangu eeeh?

The Following User Says Thank You to Pearl For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
ah ah ah kwangu ulikuwa boarding xul,so mm kama mwl nilitumia mda wangu mwingi kukufundisha,msalimie mkeo hope unakumbuka mafunzo yangu eeeh?

Hivi pale kwenye kile kiti ni boarding skul
 
Tangazo:

Namtafuta Smiles, dada yake Wiselady huku mlimani, ananung'unika kuwa ananihudumia PEKE YAKE. yeyote atakayemwona, ampe ujumbe huu maalumu kutoka kwa Mwenyekiti.

Asanteni.

Dah....sorry Pope!
nimechukua muda kidogo kufika hapa....
nilikuwa kona fulani hivi na Kimey....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…