Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Sio simu ya mezani tu, nimetumia hadi simu ya maneno kumi. Umesha wahi kuisikia?Dah kweli Bujibuji wa kitambo Asee kama umetumia Simu za mezani kipindi unaanza mapenzi aah basi we mkubwa sana
Sent from my SHV43 using JamiiForums mobile app
Hio ni Telegram mimi nliishia tu kuisoma shuleni lakini sijui hata inafananaje.Sio simu ya mezani tu, nimetumia hadi simu ya maneno kumi. Umesha wahi kuisikia?
Huyu dingi miyeyusho sana, du simu ya maneno kumi.Hio ni Telegram mimi nliishia tu kuisoma shuleni lakini sijui hata inafananaje.
Salute kwakeYusufu alikuwa ninja kweli
Hata akituoa wote tutaishi kwa amani ndani ya nyumba moja kama wake wa Dr Mwaka.Huyu demu lazima ni Miss Natafuta au Sky Eclat maana hao unashabihiana nao sana
Hongera kwenuHata akituoa wote tutaishi kwa amani ndani ya nyumba moja kama wake wa Dr Mwaka.
Hebu mbane atupe ukweliUlokole uliishia hapo au uliendelea?
BABY HAKUNA CHA KUTUTENGANISHA, MIMI NI WAKO, TRUST ME.
Niliyavaa mapenzi nikiwa sekondari, sikuwa hodari wa kutongoza mabinti, nililelewa na kukulia kwenye familia iliyojitoa wakfu kumtumikia Mungu huku maisha yangu yote ya uvulana nikiyatumia kushuhudia habari za wokovu, kuhubiri neno la Mungu na kusambaza vijarida vya KANUNI NNE ZA KIROHO vilivyokuwa vikisambazwa na shirika la dini la NEW LIFE MINISTRY.
Basta unavituko aiseh😂😂😂Naomba kujuzwa tu ulijisikiaje pale ulipoloweka rungu kwenye ule unyevu nyevu wa mbunye na kisha kutereza mpaka wareno walipokuwa wanachomoka kwa kasi ya risasi kwenye AK47! Vipi ulipiga ukelele siku hio ama ilikuwaje kuwaje yani kwako baba paroko!
Ameelewa😂Basta unavituko aiseh😂😂😂
Kwako baba nani?
BABY HAKUNA CHA KUTUTENGANISHA, MIMI NI WAKO, TRUST ME.
Niliyavaa mapenzi nikiwa sekondari, sikuwa hodari wa kutongoza mabinti, nililelewa na kukulia kwenye familia iliyojitoa wakfu kumtumikia Mungu huku maisha yangu yote ya uvulana nikiyatumia kushuhudia habari za wokovu, kuhubiri neno la Mungu na kusambaza vijarida vya KANUNI NNE ZA KIROHO vilivyokuwa vikisambazwa na shirika la dini la NEW LIFE MINISTRY.
Kazi yangu nyingine ilikuwa ni kuzunguka mijini na vijijini kuhubiri kwa njia ya video hasa tukitumia sonema ya Yesu kwa lugha ya Kiswahili.
Nilipokuwa kidato Cha tano, kuna binti mrembo Sana, mtoto mweusi, mzuriiii mkazi wa Fire Dar es Salaam, akanifuata na kunipiga tongozo moja matata sana la nguvu.
Najuana na binti huyu tangu akiwa mdogo kabisa, najua nyenendo zake na tabia zake zote. Ni binti mwadilifu, na kwa muda mrefu amekuwa akinionyesha viashiria vya kunipenda, lakini kwasababu ya urafiki wa familia zetu nikaona kama huenda Mimi namfikiria tu vibaya, mpaka siku hiyo aliponipigia simu.
Zama zile hatukuwa na simu za mkononi, tulitumia za mezani. Naikumbuka namba yetu ilikuwa 50262q, na Hadi leo ipo kwenye directories zilizopo maktaba kwangu.
Alinipigia kuniambia kuwa ana zawadi hivyo niifuate saa nne asubuhi bila kukosa.
Kesho yake mapema tu, nikawa Fire mtaa wa Faru, maghorofa ya National Housing. Nikagonga kengele akaja kunifungulia.
Alikuwa peku kajifunga kanga, nikapokelewa na nusu mwanana mno, a very wet kiss, nilisisimka nikawa Kama nimepigwa shoti kwa surprise Ile.
Busy lilikuwa refu Kama dakika tatu.
Akaufunga mlango vizuri kwa funguo, akanikokota Hadi chumbani kwao.
Busy liliendelwa mwisho ukawa mzuri sana.
Huo ulikuwa mwanzo wa picha. She was very brand new with a seal in her. Nikam diflower, nikajiona dunia yote ni yangu.
Binti alinipenda Sana, Hadi alipopangiwa kazi Shinyanga.
Maneno ya kuyasadiki mapenzini, ninyale tu unatoyasikia kutoka kwa mpenzi wako, mkiwa kwenye nyakati ngumu mmekasirikiana
Mwenyewe siku hyo akajikuta mr maloveUmekaa kwa Mungu na mambo yake muda mrefu, ila siku umekutana na mwovu na hila zake unadai ulipata shoti[emoji1787]
Kaka Mimi sio wa kwanza. Huwezi kuwa Nabii Bora bila ya kuangushwa na mwanamke.
Adam aliangushwa na Eva.
Samson aliangushwa na Delilah
Daudi aliangushwa na mke wa Uria
Suleiman aliangushwa na kila demu aliyekuja mbele yake.
Biblia nzima kuanzia mwanzo Hadi mwisho ni mtu mmoja tu aliyemshinda mwanamke, naye ni Yusufu.
Alipewa Mbunye a.k.a Mbususu akatoka nduki hatari, akaishia jela
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu demu lazima ni Miss Natafuta au Sky Eclat maana hao unashabihiana nao sana
Hah hah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
UjikooHata akituoa wote tutaishi kwa amani ndani ya nyumba moja kama wake wa Dr Mwaka.