Baby Madaha ajiweka kimapenzi kwa Wyre

kwa sasa pia wanafanya kazi ya pamoja itakayokuwa hewani wakati wowote muda mfupi ujao.

The way i know this bitch, this is just a fame stunt, na hii ndo sababu kuu.. Huyu malaya ana tabia ya promote nyimbo na movie zake kupitia scandal za uongo na ajabu kama hizi..
Am not surprised, but let the song be a good basiiii...
 
Huyu baby madaha sijui night huwa inakuwaje sababu mimacho yake kama paka vile.

Let alone the eyes....huo mkorogo unatisha balaa..mpaka veins za usoni unaziona kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…