Baby madaha akomalia na kulazimisha ndoa na meneja wake mkenya

Baby madaha akomalia na kulazimisha ndoa na meneja wake mkenya

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Stori: Gladness mallya

MWANA DADA kutoka kiwanda cha muziki na filamu Bongo, Baby Madaha ameonekana kukomalia kuolewa na meneja wake, Joe Kairuki huku akidai kuwa, mwanume huyo ni mume sahihi kwake.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Baby Madaha ‘Queen of Swaga’ alisema kutokana na uhusiano wake na Joe kuelekea kwenye ndoa, mara nyingi amekuwa akila bata zake nchini Kenya ambako ndiko mchumba wake huyo anakotokea.

“Mimi sijui kwamba ni mume wa mtu kwani sijawahi kumuona huyo mwanamke ila ninachokijua Joe ana mtoto na hajafunga ndoa na aliyezaa naye tena wanaishi nchi tofauti kwa hiyo sioni shida kuwa naye na mipango ya ndoa ipo,” alisema msanii huyo.
 
Huyo wa kwenye picha ndio meneja wake,!!!?mi namshauri Bibi Madaha aolewe na domo wataendana sana halaf na Wema awe bimdogo
 
Huyo wa kwenye picha ndio meneja wake,!!!?mi namshauri Bibi Madaha aolewe na domo wataendana sana halaf na Wema awe bimdogo

Ndio meneja wake uyo ana manage kila kitu hadi mwili wake
 
Na huyu mtoto ana pepo la ngono huyu najuwa vema
 
Kuna watu wakiaanza taja list ya watu waliolala nao wanajaza counter book 4 q
 
unaponda tindi la mwenzako wakati wewe ndio utakuta una tindi gunia,:hat:

Hahhha hapo sikujaaliwaa kabisaa kupewaa nido kama guniaa,!!!baadhi ya watoto wakifunikwaa hufa au kuzimiaaaa hata kwa mkubwaaa! !!
 
Back
Top Bottom