Baby Madaha asimulia jinsi wasanii wenzake wa kike wanavyomtongoza

Baby Madaha asimulia jinsi wasanii wenzake wa kike wanavyomtongoza

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Baby Madaha akipigana denda na msichana mwenzake Bar.Wakati sakata la kusagana ndani ya mastaa wa bongo movie likiwa bado bichi, Msanii wa muziki na maigizo Baby madaha ameibuka na mapya juu ya mastaa wenye tabia ya usagaji....
Akiongea na mwandishi wetu juzi kati jijini Dar,msanii huyo alisema kuna mlolongo wa wasanii wa kike kwenye tasnia ya filamu ambao wamekuwa na tabia hiyo ya kisagaji huku yeye akiwa ni mmoja wa \wahanga wa kutongozwa na wasichana wenzake....
"Hawana hata chembe ya aibu,wakishakunywa pombe zao wanakuambia live kabisa, mimi mwenyewe nishatongozwa sana na ( anataja jina ).Kiukweli wanakera sana ndugu yangu" Alisema msanii huyo.

Madaha aliendelea kutiririka kuwa wasanii wengi wa kike wa filamu wamekuwa wakichanganywa na utumiaji uliopindukia wa pombe na bangi unaowapelekea kufanya mambo ya aibu kwa jamii

Ukihukumu kwa kutumia picha hii ( hapo juu ) na maelezo ya baby madaha kuna ukweli.

JF hawa wasanii wetu wana nini?
 
  • Thanks
Reactions: prs
Hawana akili Timamu Utafikiri mimi hawanioni !
 
Hapo aliona ashaharibu ikabidi atumie defense mechanism

sio defence wala nini... ukiona story za huyu dada, jua kuna wimbo au movie yake inakaribia katoka... that's what she does.. kesho utaskia kamtukana diamond, sijui anaolewa century ijayo....yani hivooo..
mkishapata attention yake, then anatoa mzigo wake...
ryt now ana kiwimbo kime nominetiwa sijui MTV (siko sure) anakitafutia kura.... watch the space.
 
sasa yeye si aliwataja waliomtongoza, ww mbona unaona aibu kuwataja ........... angekua hatak wasifahamike asingewataja.
 
tayari hapo wadau mshapata atention yake so akitoa kazi hapo lazima mkanunue
 
Hizi habari za usaganaji wa hawa wasanii wa bongo huwa zinanipa maswali, kwani hao mabwana zao ama mabuzi uwa hawawasugui vizuri ama?
 
Kuna watu watakuja kutwambia msanii ni kioo cha jamii
 
Back
Top Bottom