Baby Madaha, Shilole "WATIFUANA"

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' na Baby Madaha baada ya kurushiana vijembe.

Awali katika gazeti la Amani toleo la wiki iliyopita, Baby Madaha alinukuliwa akisema kuwa Mwezi wa Ramadhani unambana kiuchumi, kwa vile kumbi nyingi za starehe zimefungwa , hivyo anakosa shoo .

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Shilole alisema anamshangaa Madaha kwa kukosa hofu ya Mungu, huku akimchana kuwa haweki akiba, anaishi maisha ya kutegemea shoo ndiyo maana anaulalamikia mwezi huu.

Baby Madaha

Madaha alivyoelezwa kuhusu maoni ya Shilole , alikuja juu na kutema cheche : "Shilole anatafuta kiki kupitia jina langu, kwanza si hadhi yangu. Siwezi kujibishana na msanii anayetegemea shoo za kwenye vigodoro, akatafute pa kutokea . "
 
yaani hii habari imenisikitisha sana, hapa naandika huku machozi yananitoka maana hawa role models wanavyogombana inawakosesha raha wasichana wadogo ambao they ldolise these two A LISTERS..wapatane bana sio poa
 
Asa huyu naye BSS imemtoa ameshajiona naye ana watu wa size yake? Si juzi tu tulikuwa tunamuona anavaa chachacha na ana michirizi ya mkojo miguuni.
 
Me nikajua wanamgombania Mziwandaaa.
 
yaani hii habari imenisikitisha sana, hapa naandika huku machozi yananitoka maana hawa role models wanavyogombana inawakosesha raha wasichana wadogo ambao they ldolise these two A LISTERS..wapatane bana sio poa

Maatope una lako jambo mkuu kwa hao vimwana.
 
hapa ndo pamenifurahisha
 
yaani hii habari imenisikitisha sana, hapa naandika huku machozi yananitoka maana hawa role models wanavyogombana inawakosesha raha wasichana wadogo ambao they ldolise these two A LISTERS..wapatane bana sio poa

hii ni mpya iingie kwenye katiba mpya
 
Baby Madaha anajionaga yeye ndo top jamani khaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Baby Madaha anajionaga yeye ndo top jamani khaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Yeah ni kweli sijui kwanini hvi ile kampuni aliyoingia nayo mkataba imemtema nini mana anahangaika sana
 
yaani hii habari imenisikitisha sana, hapa naandika huku machozi yananitoka maana hawa role models wanavyogombana inawakosesha raha wasichana wadogo ambao they ldolise these two A LISTERS..wapatane bana sio poa

Kweli maatope I can imagine how you feel kuhusu kugombana kwao
 
ahahahhahaahhhahahahahaha......kwanza nicheke af madaha nae kiaz kibich kweli hajisom wala hajielewi ye ndo anatafuta kiki kwa shilole maana shilole juhudu bnafs bila vya kushndania....ye aishukuru benchmark hv hv angebakia kutukwangua mba saloon.....teh dunia ina mambo balaa
 
Hiyo hadhi ya madaha mbona siioniii
 
hapa ndo pamenifurahisha

Unakumbuka nin binamu? Au mtu na shoga yake mwafluni. Sasa huyo madaha mwenzie show za vigodor ndo Zimemnunulia harrier Lexus ,yey na show zake za ki beyonce anaganga njaa ramadhan hana pesa ya kula
 
Yeah ni kweli sijui kwanini hvi ile kampuni aliyoingia nayo mkataba imemtema nini mana anahangaika sana

Nafikiri bado yupo chini ya hiyo management. Huyu ana hulka tu ya chokochoko. Anapenda kujiona yeye ndo bora kuliko wenzie while ni de beche de alolo (abeche alolo in bi hindu's voice)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…