Mbona kawaida kabisa, hakuna starehe duniani zaidi ya hiyo. Kwa wale wenye matatizo ya kiafya ya aina yoyote yanayoweza/yaliyoweza kuwasababishia wasiweze kufanya hichi kitendo wanaweza wasielewe na hatuwalaumu. Ila wanakosa utamu duniani.
Ana matatizo kumbe huyo. Anamaanisha ukimpa pesa ya kutosha anafanya hivyo, but no money no honey. Navyojua wengine tunafanya hata wiki nzima bila tabu
Nadhani hamjamuelewa vizuri, yaani kwa wiki anapiga show siku 4,ndani ya siku moja anaweza kwenda hata raundi 4,so kwa siku hizo nne anaweza kufanya mara 16.[emoji23][emoji23]