Baby mimi siwezi kupanda Daladala

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Mdada wa mjini Akichat na Boyfriend wake:
'Baby: kama huwezi kuja kunichukua nakuja na taxi utalipa,kama hutaki basi,mi siwezi kupanda Daladala Iam a DIVA''

''Okay Baby,gari haina mafuta na sina hela ya taxi,kama huwezi kupanda daladala basi,I am a DIVA''

Hivi kuwa Diva ndo hupandi Daladala??
Babako mwenyewe anafanya Shirika la Reli anagombania gari za Tandika deile, Eti we mwanawe Diva, Diva my beuatiful legs!
 
Tafuta hela man, Mimi siwezi kuwa na miadi na demu afu umpandishe dala dala, kwanza ni kupoteza muda na majasho
 
Tuma nauli ya uber acha kulia lia.atoke majasho kwenye daldala afu dawasco maji wamekaya
 
Mbona mimi huwa wanakuja kwa nauli zao wenyewe, huwa sijui hata amepanda usafiri gani lakini namuona tu huyo kafika, napiga mzigo anasepa kivyake!!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yani unatakaa adandie daladala alete papuchi imelowa jasho chepechepe...
 
Ha ha ha ha ha ha hakika sisi watanzania n malofa
 
kama huwezi tuma nauli achana na mabinti wanaoishi mbali
 
yani unatakaa adandie daladala alete papuchi imelowa jasho chepechepe...
Hawaelewagi kwanini wanakwepa mambo za daladala, alafu akija kwa daladala ataleta uzi kina dada mnanuka...
 
Inasikitisha sana...

Wanawake wa aina hiyo ni wale ambao, kwao anatoka na miguu, daladala anaunga unga, akikaribia kwako anajifanya kupanda bajaji au Tax ili ujue katoka nayo toka kwao...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…