Kweli aisee wanaanza hvo ila mwisho wa sentensi unakuta unapigwa mzinga...........................Ukiwa unachat na mwanamke wako. Katikati ya conversation akaku SMS"baby nikwambie kitu"..ukijibu niambie..itafuata mlolongo wa matatizoo..na atakuomba hela au aka mzinga.
Wanawake wasio kuwa na hela yani kero kweli..mizingaaa 800..ndiyo maana sisi wahaya tunaoana wenyewe kwa wenyewe. Mnbeba mipochi mikubwaaa kumbe mmeweka tissue tu ndani na lips shiner na kipisi cha wanja.
Jmn sio vzur huenda ana hbr nzuriKweli mkuu tena zima simu haraka halafu toa betri na line uweke kila kimoja peke yake
Kumbe unapenda kutumia tu bila kughalamia na mapesa yote uliyonayo? acha ubahiliUkiwa unachat na mwanamke wako. Katikati ya conversation akaku SMS"baby nikwambie kitu"..ukijibu niambie..itafuata mlolongo wa matatizoo..na atakuomba hela au aka mzinga.
Wanawake wasio kuwa na hela yani kero kweli..mizingaaa 800..ndiyo maana sisi wahaya tunaoana wenyewe kwa wenyewe. Mnbeba mipochi mikubwaaa kumbe mmeweka tissue tu ndani na lips shiner na kipisi cha wanja.
watu wengine bhana...mmekaa tu kudharau thread za wenzenu yeye falsafa yake imemtuma ivo...kama kitu hakikuvutii pita zako na sio dharauNonsense
Hiyo ni falsafa yake na mimi hiyo ndo falsafa yangu sasa unataka wote tufanane? Kwa hiyo ulitaka kila mtu aandike post ya kusapoti?watu wengine bhana...mmekaa tu kudharau thread za wenzenu yeye falsafa yake imemtuma ivo...kama kitu hakikuvutii pita zako na sio dharau
sasa nani ampe pesa kama sio wewe! labda kama unamwanamke zaidi ya mmoja ndo utashindwa kuhudumiaUkiwa unachat na mwanamke wako. Katikati ya conversation akaku SMS"baby nikwambie kitu"..ukijibu niambie..itafuata mlolongo wa matatizoo..na atakuomba hela au aka mzinga.
Wanawake wasio kuwa na hela yani kero kweli..mizingaaa 800..ndiyo maana sisi wahaya tunaoana wenyewe kwa wenyewe. Mnbeba mipochi mikubwaaa kumbe mmeweka tissue tu ndani na lips shiner na kipisi cha wanja.
NikweliSio wote
Mi wakati niko bachela demu wangu akinitumia "baby nikwambie kitu" mara nyingi zilikua habari njema sana kwangu': Nimetoka home nakuja kwako muda huu--- msela najiona life nimelipatia[emoji23]
Baby boom limetoka ntakupitia tupange bajeti zetu[emoji23] [emoji23] enzi za chuo wallah ukimpata mwanamke anayekupenda hutachukia mapenzi.
Baby ile issue niliyokwambia Mzee kakubali amesema field nijaze mkoa uleee(mkoa ambao namimi nimejaza[emoji23] mbuzi kafia kwa muuza supu)
Baby nikwambie kitu...
Nisamehe kwa nilivyokukwaza jana ... I like that[emoji23] [emoji23]
Sasa mwenzangu wewe ukiona message ya hivo unajua mzinga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanamke ukimjenga vizuri pesa yako itakua yake na pesa yake itakua yako tena iko siku utakua umekwama unashangaa unatumiwa ela na demu wako kama surprise.. Haraka haraka unapiga simu kulikoni baby mbona umenitumia pesa umetoa wapi.... Boom limetoka... Mshahara umetoka najua huna ela kwa sasa baby tumia hiyo itakusogeza nikija home tutaongea[emoji23]
Mwanamke kama maji hana umbo maalumu(tabia), Maji hayana umbo maalumu ukiyaweka kwenye kibuyu yanachukua umbo la kibuyu, ukiyaweka kwenye ndoo yanachukua umbo la ndoo.
Ukiona demu wako anataka kukukomoa kila siku mizinga ujue kuna sehemu hujampatia ama wewe ni kicheche au demu huyo hakufai[emoji23]