We kweli wa stendi [emoji23]Hii mesage hua inatibu , ,homa ,kifua,kichomi,magonjwa ya moyo,presure na msongo wa mawazo na magonjwa mengine 87 kwa wanaume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo mbili zinaleta magonjwaHii ni balaa.
Alafu kuna " baby nikwambie kitu"
Bila kusahau "siku zangu sizioni"[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaleta msongo wa mawazo, ugonjwa moyo ,presha na magonjwa yote yanayoibukaga ghaflaHii ni balaa.
Alafu kuna " baby nikwambie kitu"
Bila kusahau "siku zangu sizioni"[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hua haijibiwi kabisaHii ni balaa.
Alafu kuna " baby nikwambie kitu"
Bila kusahau "siku zangu sizioni"[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hua ndo inaleta hayo magonjwa nilotaja hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo mbili zinaleta magonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweliHii inaleta msongo wa mawazo, ugonjwa moyo ,presha na magonjwa yote yanayoibukaga gafla
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa wenye KILELE ni KILIMANJARO.Ndio wapi huko
AiseeMkoa wenye KILELE ni KILIMANJARO.
Wengi msichokijua kuhusu nyama ya mbuzi kwa Mrombo mkoani Arusha - JamiiForums
shukia ununioHii inaleta msongo wa mawazo, ugonjwa moyo ,presha na magonjwa yote yanayoibukaga gafla
Sent using Jamii Forums mobile app