Ghafla, wasukuma mna shida sana na lugha!Hii inaleta msongo wa mawazo, ugonjwa moyo ,presha na magonjwa yote yanayoibukaga gafla
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh bora ata umepita apa umepata ujumbeGhafla, wasukuma mna shida sana na lugha!
Unajifanya kunifungia vioo?
Ndo ulichokiona tu sio?????? Kama huelewi usiwe unan quote utumbo wako apa pita kimya kimyaHehe acha kutuharibia lugha.
Hehehe okay!Ndo ulichokiona tu sio?????? Kama huelewi usiwe unan quote utumbo wako apa pita kimya kimya
Akiwa mpya ndio inaleta mzukaBaby nipo kwenye bajaji after 10 minutes I will be there.. Afu ukute dem mpya mkali
Hii ni balaa.
Alafu kuna " baby nikwambie kitu"
Bila kusahau "siku zangu sizioni"[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mzima unazimia kwanza kama dakika tatu hivi kwa furaha. Ukija kuibuka energy ya kutoshaBaby nipo kwenye bajaji after 10 minutes I will be there.. Afu ukute dem mpya mkali