Baby please,i need a space for a while!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wakuu,cna ugomvi wowote na my gal,ila cha kushangaza amenitumia hyo txt,nikambana na maswali machache,akanambia ana mambo yake ambayo asingependa kuniambia yanamsumbua sana kichwa chake and she need to be alone kwa muda wa kama wiki moja hvi,so nimpe space ayamalize kwanza.sasa wakuu,ivi inawezekana akawa ananiambia ukweli au ndo kuna mwenzangu ananisaidia kuhudumia?
 
kuwa mtulivu tu kaka...she maybe telng the truth
 
hamna shida mpe nafasi ,huwa inasaidia kuyatengeneza mahusiano hasa pale mmezoeana sana
 
inategemea kua umemzoea ni mtu wa dizain gani kama ni mtu wa stress na maswala mengine kama hayo hapo namaanisha kuna wale watu wanapenda kujirundikia matatizo yao pasipo kushirikisha watu wengine, lakini kama hujamzoea kua ni mtu wa stress basi hapo kuna kitu si bure
 
Samahani kuna uwezekano alikua mmoja wa wachumba wangu wawili wa zamani. Maana hio sentensi nimeambiwa hivyo hivyo TWICE halafu wakasepa. Ila tatizo kubwa ni kwamaba siwezi kubembeleza so baadae wanakuja kusema I didn't think you loved when you stayed very quite so I moved on :eek2: .
Hehehe. Women are from Venus I tell you.
Ila I am very sure kuna jamaa mwingine pembeni. Sasa with you around hawezi ku judge vizuri. Kwaio she needs to pull back ili imsaidie kuamua.
Hakuna matatizo mengine yanayoweza kumfanya ahitaji SPACE from her lover zaidi ya kuwa na potential lover mwingine.

My answer, if she has doubts than maybe we aint supposed to be together in the first place. Deuces!
 

asante kwa maelezo yako man!
 
 
Asprin hubby, kam this way unipe sipesi!!! ebo!
 
Last edited by a moderator:

Wiki moja si siku nyingi za kushindwa kumvumilia, hebu mpe hiyo space uone baada ya hapo ataamua nini! Ktk hali ya kawaida na kama kweli mtu anakupenda huwa nashindwa kuelewa inakuwaje mpenzio ashindwe kukueleza kile kinashousibu moyo wake mpaka aombe space, Loh!

Vingenevyo naunga mkono hoja ya The Boss kwenye definition yake kuhusu kuombwa space hapa chini!

Space could mean

1.space
2.you are so boring
3.i have someone else who is my no 1
4.if i tell u the truth you wont accept it
5. i am evaluating our relationship..
6.its a step to dumping you..
7 anything...
 
Last edited by a moderator:
hakuna kitu kinaitwa a space katika mahusiano yaliyo kuwa kwenye mstari!kama anahitaji the space manake uhusiano wenu upo at stake kwa sababu pengine amegundua kitu cha tofauti kwako yani kuna vitu vibaya amevijua kukuhusu so anahitaji kujitafiti upya kama yupo sahihi au amepata mahusiano mengine so she need to quit!so kaa mkao wa kula!
 
Space could mean

1.space
2.you are so boring
3.i have someone else who is my no 1
4.if i tell u the truth you wont accept it
5. i am evaluating our relationship..
6.its a step to dumping you..
7 anything...


saluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuute!
 
Space ??! Kaa chonjo.
Moyo wa mtu ni kiza kinene alijisemea Saida Karoli. Ni msitu mnene haswa zaidi ya ule wa Mabwepande. Katu usiudharau moyo wa mwenzio maana hujui aliwazalo usijiaminishe kiasi hicho kwani siku akilishusha kombora wawezateketea kabisa kama umekumbwa na Bomu la Hiroshima!

Moyo wa mtu!!! acheni tu wapendwa.
 
Space could mean

1.space
2.you are so boring
3.i have someone else who is my no 1
4.if i tell u the truth you wont accept it
5. i am evaluating our relationship..
6.its a step to dumping you..
7 anything...

Mkuu umegonga mahala pake.
 
Space could mean

1.space
2.you are so boring
3.i have someone else who is my no 1
4.if i tell u the truth you wont accept it
5. i am evaluating our relationship..
6.its a step to dumping you..
7 anything...

The boss huwa unanifurahisha sana!
 

One week is not enough, muongezee ONE YEAR, uone anavyorudisha mapenzi fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…