Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Ndiyo mazee.
Duh, hongera zake. Jamaa nakumbuka track yake aliyomdiss P-Funk mwenyewe alikuwa anasema ni Ether na Takeover combined.
Naona washikaji zake NN wa mitaa ya Dunwoody na Roswell ndani ya movie.
Naona washikaji zake NN wa mitaa ya Dunwoody na Roswell ndani ya movie.
Naona wanaJF wengi ndani, comment wanaminya...!
Naona wanaJF wengi ndani, comment wanaminya...!
Hii movie i think waliotengeneza ni lawrence karabani na Sajo,na actors ndiyo wamechanyanyika watanzania na wakenya na wamarekani.
premier (grand opening) itakuwa houston wakati wa thanks giving (november) ile ijumaa jumamosi na atlanta jumapili kwa ajili ya wakenya.It is a nice movie akina Carlos wamejitahidi sana pamoja na yule mtoto wa houston (rapper wa kitanzania).I am so looking foward kwenda kuiona kwa kweli.
good job guys.
Hahaha NN, kuna msela mmoja hapo mwenye Tee nyeupe anakaa mitaa ya Tilly Mill RD/N Peachtree na N Shallowford Rd.
Hahaha NN, kuna msela mmoja hapo mwenye Tee nyeupe anakaa mitaa ya Tilly Mill RD/N Peachtree na N Shallowford Rd.
Huyo rapper ndio Tibaigana (jina la kwanza silijui)?
I'm yet to see the entire script and other stuffs therefore reserve my comment.
...the video quality ni ya nguvu,
...the background music is crisp and level-headed.
...props to them all,
...job well done!