Baby Sitter Wanted

Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
440
Reaction score
173
Natafuta baby sitter wa kike atakae kaa na mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miezi sita kuanzia saa moja na nusu asubuhi hadi saa kumi na nusu jioni.
Kazi ipo Dar es salaam, UDSM
Hatofanya kazi yeyote ya ndani, awe amemaliza kidato cha 4 au 6 au zaidi, awe mpenda watoto, muelewa haraka, mstaarabu, msafi na mwenye nidhamu.
Awe na wafadhili wawili.
Mshahara utajadiliwa kwenye usaili.

Kwa maelezo zaidi nipm.
 
mhhh.

niliye nae hajamaliza form 6 ila sifa zote anazo zinazohusu kulea mtoto
 
Asanteni kwa ushirikiano. Nimeshapata.
 

Ni PM nikuunganishe na bint aliyesomea malezi ya watoto toka Idara ya ustawi wa jamii.
 
Nadhani ulitaka kusema Wadhamini au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…