baca ubingwa mwaka huu vip

mwarabua

New Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
3
Reaction score
0
ivi kweli gadiola ndo kamshindwa morinyo? inaonekana sasa bacelona inatoka kwenye mbio zakuusaka ubingwa wa hispania hawezekani uachwe point 3 mpaka zinafika kumi. hii ni aibu kwa kocha kama gadiola, kweli tutachukua ubbingwa kwastail hii? hajama wanaikamata baca ndo kusema wamewajua staili yao ya uchezaji? mbona madrid tunawakamata? au wachezaj wanazarau clab zingine

sis tunataka ubingwa campneu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…