Bacca ampiga chini Feitoto tuzo ya mchezaji bora Zanzibar

Bacca ampiga chini Feitoto tuzo ya mchezaji bora Zanzibar

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji599]IBRAHIM BACCA AMESHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA ZANZIBAR MBELE YA FEISAL SALUM (AZAM) NA MUDATHIR YAHYA (YANGA).

Una swali lolote umejiuliza?
1718025662182.jpg
 
Kabisa yaani, unampa Feisal tuzo ya kiungo Bora kwa kipi? Wametumia vigezo Gani au ndio maagizo kutoka juu?
Wanalazimisha awe icon ya michezo Zanzibar ila mda itaamua hakuna shida msimu wa 2024/25 Yanga tuna swap Kila kitu
 
Wapingaji watakuja na takwimu za magoli na assits,ila wanasahau tackling,clearances, blocking.
 
Hiyo ya Feisal wamembeba
Alitakiwa apewe Muda Feisal kwa lipi wakuu?

Hakutakiwa kupata kitu
 
Msimu ambao wamehesabia hizo tuzo ndo Feisal alikua na migogoro na Yanga sijajua imekuaje apewe tuzo ya Kiungo Bora kuliko Mudathiri ambaye aliisaidia Yanga kushinda Mataji makubwa na pia kufika Fainali ya Shirikisho Africa
 
Back
Top Bottom