sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Habari za mda huu
Toka naanza kusikia siza zake na fist match namuona NIKAGUNDUA watanzania Huwa tunasifia mtu Kwa kufuata mkumbo bila kuangalia kiufundi
Beki wa yanga BACCA Kila match anayocheza hufanya makosa mengi mno ambayo kama wapinzani wangalikuwa wote wanakuwa makatiki asingekuwa ata anapagwa
1. HAWEZI KUKABA 1V 1
2. HAJUI KUPIGA PASS