Leta timu lako
Leta timu lako
So what?Habari za mda huu
Toka naanza kusikia siza zake na fist match namuona NIKAGUNDUA watanzania Huwa tunasifia mtu Kwa kufuata mkumbo bila kuangalia kiufundi
Beki wa yanga BACCA Kila match anayocheza hufanya makosa mengi mno ambayo kama wapinzani wangalikuwa wote wanakuwa makatiki asingekuwa ata anapagwa
1. HAWEZI KUKABA 1V 1
2. HAJUI KUPIGA PASS
Mfuatilia Kila mechi utaona madhaifu yakeWrong. Baka ni mzuri kuliko unavyofikiria uwezo wa mchezaji haupimwi kwa mechi moja mbili. Lile goli limetokea Baka alipoteleza,
Walichofeli Yanga n namna walivyo kua wanaacha goli bila ulinzi wa kutosha na kushindwa kutengeneza nafasi za magoli.
Ball possion : Yes! walijitahidi.
Kwangu Mimi Kwa TZ,Bacca is one of the best defenders,anachohitaji Kwa sasa ni muda mwingi wa kupumzika ili arejeshe nguvu,kingine asipokuwepo Aucho defence ya timu inakua weak sana kwakua cover nyingi anafanya yeye.Habari za mda huu
Toka naanza kusikia siza zake na fist match namuona NIKAGUNDUA watanzania Huwa tunasifia mtu Kwa kufuata mkumbo bila kuangalia kiufundi
Beki wa yanga BACCA Kila match anayocheza hufanya makosa mengi mno ambayo kama wapinzani wangalikuwa wote wanakuwa makatiki asingekuwa ata anapagwa
1. HAWEZI KUKABA 1V 1
2. HAJUI KUPIGA PASS
Ni mbovu mno na saivi ujinga wake unaenda kuonekanaKwangu Mimi Kwa TZ,Bacca is one of the best defenders,anachohitaji Kwa sasa ni muda mwingi wa kupumzika ili arejeshe nguvu,kingine asipokuwepo Aucho defence ya timu inakua weak sana kwakua cover nyingi anafanya yeye.
Angekua si mzuri then tusinge chukua kombe hata moja,Mfuatilia Kila mechi utaona madhaifu yake
Makombe ya dhuluma Yanga haijawahi kuchukua Kombe kihalali ni dhuluma mtupuAngekua si mzuri then tusinge chukua kombe hata moja,
Msimu huu kwenye mechi kumi tumeshinda 8 moja alitolewa kwa kadi . Unaprove nini tena ?
Kijana jitathmini .