Rehma na amani ziwe nanyi.
ndugu zangu naombeni dodoso kuhusiana na kozi ya geography and environmental studies. Unaweza kufanya kazi wapi. soko lake la ajira. uzuri wake na mapungufu yake
Shukrani...:::
Kazi ni ngumu
Mi na mdogo wangu tumesoma kozi hiyohiyo udsm ila dah mwaka Mzima na ushee no job
Tumeaplly dawasco mala buwsco kote no reply
Tumebahatika kupata kazi tofauti na elimu yetu hapa canada ila timesumbuka mno kuomba tz bila mafanikio