Napenda kuchukua fursa hii kwa upendo wa dhati kabisa kukutakia maisha mema na marefu kwa siku yako ya kuzaliwa.
Mungu akupe nguvu, hekima, uwezo, na afya njema kwa miaka zaidi 100000 ijayo!!
Happy Birthday BACHA!!!!!!!
Wana JF tuungane kumpongeza ndugu, rafiki yetu mpendwa Bacha kwa kuongeza umri katika maisha yake. Mungu awabariki sana!!!!
Regards
DA
HBDay Bacha nakutakia maisha mema yenye furaha na ushindi mnono wa kiungu liver longer like henoko!
Nakuja na singo moja ya ka wimbo hapa halafu utake Action fasta! Kata keki tuleex9 kata keki kata keki kata keki tulee! Ngoja nikachukue umma nakuja usiondoke
Happy Birthday Bacha!
Happy birthday mazee.....
Keep scoring....
Hongera mkuu kwa kuongeza uzee na hekima inazidi kuongezeka pia maana ukubwa nao dawa
Tata wahongeramo kutiki go?!!
Happy Birthday!!!!!!
Ha ha ha ha nakuombea ufike hiyo miaka bana