..........du!bacha jina lako linaelekea sana km ukiondo 'c' ukaweka 's'.....pamoja na hayo jaribu kukaribia tuone unanini kipya..
Karibu mkubwa!Haloo Wana JF, poleni kwa mahangaiko ya maisha na pilika za utafutaji kwa ujumla.Mimi nimeona nisipitwe nahizi changamoto zinazotolewa kila siku na nisibaki kuwa msikilizaji bali nami niweze kupata fursa ya kutoa mawazo yangu.Naombeni mnipokee na mnivumilie pindi ntakapokosea!si mnajua tena na ugeni nao.......