Bachelor degree of Human resourse managment, Naombeni msaada hii facult.

johnshedo

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
98
Reaction score
6
Naomba kujua masomo yake yako vp kwa ujumla,ajira zake na majukumu yake,pia mahali husika pa kufanyia kazi au kupata ajira ni wapi.. na je coz hii inalipa au ndo inaongoza kwa kuweka watu mtaani bila kazi..
NB: Ni msaada tuu.. wala sio kashfa na majungu wadau.
 
We kapige mzigo nachoamini kila facult ina ajira tatizo ni ufaulu wako ndo uta determine future yako
 

nenda kalime hujui unachouliza ...
 
una kozi hii duniani
[h=2]Human resourse managment[/h]Ndo maana tunakushauri ukalime vitunguu na matikitimaji
 
Kozi ya kidada,yakike haina ajira kabisa bora ukasome Education ,manager?? ndio nini sasa? hata mimi naweza kuwa manager
 
Jaman ipo pale udsm kuna bcom in human resource management. So I believe hata sehemu nyingine itakuwepo. Mi nakushauri usome tu,if is what you want in life. For me I love accounting and am taking bcom in accounting am in my final year.
So take what you passionate to do in life,as long as course ipo basi ajira zipo ndio maana imekuwepo.
Do up your best and the best will come to you.
Let God help u to take wise decisions.
 
Kozi ya kidada,yakike haina ajira kabisa bora ukasome Education ,manager?? ndio nini sasa? hata mimi naweza kuwa manager

Hakuna course ya kidada wala ya kikaka.. Unaweza kuwa manager lakini kutakuwa na difference kati yako na yule aliyesomea.
 

siku hizi watu wanajiajiri wenyewe ,ukimaliza chuo unaomba mkopo unaazisha biashara.
sasa wewe unasoma HR utakuja kumfanyia nani usahili?
 
Watu wengine huwa wapo kwa kuponda tu watu. Hope you are perfect ah!
 
Nimesoma hiyo ni nzuri ila kama utaisomea mzumbe

hakuna cha mzumbe wala cha zombe ,kwa nchi hii aka (tz) mambo yote ni sawa.hakuna cha MZUMBE,UDSM,IFM,CBE,Tumaini,STJUT,Mucobs,AIA wala UDOM.''nipe nikupe ndo sera rahisi na inayofanya tofauti isiwepo, sawa kijana.''
 
Siku zote mfuko mmoja wa sukar haubadilishi ladha ya bahari.. Nawashukuru sana wadau mlionielewa na kunishauri Mema.. ila pia ukishinda mbio usijisifie.. msifie na yule anayekukimbiza.. wote pia mlioibeza hii thrds nawashukuru pia..
 
Mleta mada,

Hakuna ofisi ya serikali/shirika la serikali au taasisi ya serikali ambayo haina kitengo/idara/kurugenzi ya raslimali watu.

Ofisi nyingi za binafsi uwa zina outsource kwa makampuni binafsi kufanya kazi za usahili ili kupata wafanyakazi wao.

Human resource management ni taaluma nzuri na yenye fursa rukuki za ajira (kuajiriwa na kujiajiri).

Jambo la msingi ni uwe umeipenda, uwe tayari kusoma taaluma hiyo kwa bidii na uielewe kwa undani, kila kitu kitakuwa safi.

"Akili za kuambiwa, changanya na zako" by Jakaya kikwete.
 
Kozi ya kidada,yakike haina ajira kabisa bora ukasome Education ,manager?? ndio nini sasa? hata mimi naweza kuwa manager

Mbona una akili mbovu hivyo? Kozi ya kidada maana yake nini? Ndiyo nyie mkiingia mtaano mnachanganyikiwa kwa kamini kozi zenu ni bora kuliko nyingine...hakuna kozi duniani isiyo na ajira kabisa, mvivu wa kufikiri tu ndiye anayeweza kuropoka kama hakuna akira kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…