Naomba kwa anayefahamu kati ya bachelor degree ya accounts IFM vs bachelor degree ya accounts TIA ipi yenye uhakika wa ajira zaidi anijuze wakuu.
Ngoja tumsaidie hivo hivo atakuja kufunguka huko mbele. Nenda TIA mkuu. Kwanza Accounts siku hizi kila kona ipo watu wanakandamiza vitabu. Hamna jipya. Ya IFM au TIA au Tumaini au UD accounts ni ile ile. Debit haiwezi kuwa credit hata siku 1.
Period
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mhh...Hivi wewe mpaka wa leo bado una mawazo ya kusoma ili uje uajiriwe. Pole sana. Usipobadilisha hayo mawazo uliyo nayo itakula kwako kama wafuasi wa Kibwetere.