K Kiny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 289 Reaction score 57 Jun 12, 2014 #1 Wakuu poleni kwa shughuli naomba kujuzwa kwa tetesi hizi kuwa bachelor of midwifery inayotolewa mhimbili na Udom imefutwa na badala yake itakuwa kwa masters tu.
Wakuu poleni kwa shughuli naomba kujuzwa kwa tetesi hizi kuwa bachelor of midwifery inayotolewa mhimbili na Udom imefutwa na badala yake itakuwa kwa masters tu.