Bachelor of accounting and finance (BAF) kupitia diploma in accounting and finance (DAF) as qualification ina mkopo toka HESLB?

Bachelor of accounting and finance (BAF) kupitia diploma in accounting and finance (DAF) as qualification ina mkopo toka HESLB?

Panctuality

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2019
Posts
775
Reaction score
1,150
Wazee wa "ceteris peribus" habarini.
Bila kuwapotezea muda naomba kujua endapo kama bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) huwa wanatoa mikopo kwa wanafunzi wanaosomea bachelor of accounting and finance mathalani waliopitia diploma ya accounting and finance? Au wanufaika wa mkopo huo ni fresh from school only?
Ninatumaini kupata ufumbuzi toka kwenu,ahsanteni.
 
Back
Top Bottom