E Emasse Member Joined Sep 19, 2014 Posts 31 Reaction score 0 Sep 30, 2014 #1 Wadau hii course iko poa?...ina tofauti ganii na BAF YA KAWAIDA?
tutaweza JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 634 Reaction score 457 Sep 30, 2014 #2 Contents zake zinatofautiana sana na hizo BAF nyingine (BAF na LGAF). Hiyo course ina masomo mengi ya public sector accounting. Ila mwisho wa siku kwa kuwa zote ni shahada za accounts, mtafanya kazi sawa tu.
Contents zake zinatofautiana sana na hizo BAF nyingine (BAF na LGAF). Hiyo course ina masomo mengi ya public sector accounting. Ila mwisho wa siku kwa kuwa zote ni shahada za accounts, mtafanya kazi sawa tu.