Bachelor of Arts in Economics and Sociology

Bachelor of Arts in Economics and Sociology

kataza

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
28
Reaction score
58
Hello ladies and gentlemen,

Please naomba kuuliza mtu akisoma kozi hiyo tajwa hapo juu atafanya kazi wapi na atatambulika kama nani?
 
Hello ladies and gentlemen,

Please naomba kuuliza mtu akisoma kozi hiyo tajwa hapo juu atafanya kazi wapi na atatambulika kama nani?
Unakuwa mchumi kama kawaida
 
Swali muhimu kabisa la kumsaidia mhusika ni;

Huyo mwanafunzi mtarajiwa yeye binafsi anataka kuwa nani/kufanya nini maishani?

Title ya wanaosoma hiyo fani haitakupa wewe pesa baada ya kuihitimu.

Ni ushauri tu
 
Dah, iyo kozi sio mbaya ila bongo connection tu hata ukiwa na degree ya maua
Well, BAES ni course ambayo ina economics and sociology kwa hy unaweza fanya kazi za course hz
*Afisa mipango
*Afisa ufuatiliaji na tathimini
*Business development officer
*Mwalimu wa chuo economics kwa collage n university
*Afisa maendeleo ya jamii
*Ustawi wa jamii
*Warden
n so on
Changamoto mifumo huwa haikutambui mfano ajira portal inaweza ikataka watu wa economics au sociology ikakukataa (believe me it happened to me)
Kwa hy watu wa economics wanakwambia wewe ni sociology and vice versa😂😂
 
Back
Top Bottom