Dah, iyo kozi sio mbaya ila bongo connection tu hata ukiwa na degree ya maua
Well, BAES ni course ambayo ina economics and sociology kwa hy unaweza fanya kazi za course hz
*Afisa mipango
*Afisa ufuatiliaji na tathimini
*Business development officer
*Mwalimu wa chuo economics kwa collage n university
*Afisa maendeleo ya jamii
*Ustawi wa jamii
*Warden
n so on
Changamoto mifumo huwa haikutambui mfano ajira portal inaweza ikataka watu wa economics au sociology ikakukataa (believe me it happened to me)
Kwa hy watu wa economics wanakwambia wewe ni sociology and vice versa😂😂