Za mchana huu wrote, wakubwa shimamoo..
Mimi no mwanafunzi Wa kozi tajwa hapo juu...
Ninaomba upembuzi Wa uwezekano Wa kusoma master ya biostatistics kama ufaulu utakuwa umejitosheleza.
Ila o level nilisoma masomo ya biashara INA mana fizikia na kemia sikusoma biology nilipata alama A
A level nilisoma EGM( economic, geography na advanced mathematics)
Nitashukuru kwa msaada wenu..mbarikiwe sana