Hiyo course ina ubana wa ajira maana unaweza kuingia sehemu nyingi , unaweza kuwa administrator na tabua kuwa office nyingi lazima ziwe na maadministrators. Ila kwa sasa inacompitition sana maana watu wengi wemesoma iyo course.
Kozi yoyote ile inalipa ilimradi ufaulu vizuri, kwahiyo kaza msuli dogo utafanikiwa MBONA LOWASSA KASOMA KUNENGUA PALE MLIMANI NA ANAPETA TU INGAWA ZA UWIZI...