Naomba nifafanuliwe ivi aliyemaliza iyo kozi atakuwa Mwalimu au Admnistrator?
Hopefull atakuwa Mwalimu kwa nini wasingeiita BED.
Designing ya haya majina kwa kweli ni very tricky.
AU kama wale wanaotoa BAF ie bachelor of accounts and finance wakati izo ni degree 2 tofauti ktk vyuo vingine huu sio usanii mbaya zaidi wote unakuta 3 years course.
Tupunguze usanii kwenye professional jamani