soldier MAN
Member
- May 13, 2024
- 51
- 100
Naombeni mnijuze kuhusu kupata mkopo katika kozi ya BBA hasa katika chuo cha UDSM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kozi za Biashara kupata mkopo ni mtihani kidogo MkuuNaombeni mnijuze kuhusu kupata mkopo katika kozi ya BBA hasa katika chuo cha UDSM
asante kwa ushauri nitaufanyia kazSoja mkopo wa nini, masoja si mnaweza kuishi popote na mazingira yoyote??
Enewei, kwanza ondoa mawazo ya kua kozi fulani ndio ina mkopo na hii haina mkopo.
Kama uliapply vizuri na una vigezo utapata mkopo bila kwa hiyohiyo kozi yako kijana, ondoa wasi.
Na kubwa zaidi soma kozi ulioitaka ili kutimiza malengo yako, sio unachagua kozi kwa kushauriwa ati ni kozi itayofanya upate mkopo kirahusi..
Waliochagua kozi kwa namna hiyo mwishoni mwa utawala wa JK na utawala wa JPM waliuona moto wa kifuu.