ranchoddas
Senior Member
- Mar 27, 2015
- 114
- 56
Unakimbia nni???
unaweza ndio..tena bila waswas
Unaweza mkuu!Mie nipo mwaka wa 3 Petroleum engineering!Nina rafiki zangu walisoma degree mining na biology sa hiv wapo China wanasoma master in Petroleum Engineering!Wengi wanabadili fani kukimbilia sekta ya mafuta na gesi kwan miaka ya mbele ijayo itakuwa na soko sana!kusoma masters in petroleum eng. Wanaangalia sana sana baadhi ya kozi za engineering zile common ka fluid,thermodynamics n.k ulizosoma bachelor!