bachelor of commerce with education-St john Dar c

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
wakuu naomben mnijuze kwa anayeifahamu hiyo program ikoje kiajira na mwenye ufaham kuhusu chuo hiki cha st john compus ya Dar mazingira yake na hali ya maisha kwa ujumla
 
chuo kipo bugutuni malapa ndugu. mengneyi wadau wataku
 
wakuu naomben mnijuze kwa anayeifahamu hiyo program ikoje kiajira na mwenye ufaham kuhusu chuo hiki cha st john compus ya Dar mazingira yake na hali ya maisha kwa ujumla

mkuu @irumba ndo ulipopangiwa nn?
 
ST. John ni hiki chuo kilichoanzia Dodoma ambacho kina kashfa nyingi za bachelor za kishkaji? Wengi wanaotoka pale wanajiintoduce as "Nimesoma UDOM"
 
bora usome teku lakn c o st john yan kama shule ya msing kipo dar bugurun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…