bachelor of economics in project planning vs bachelor of science in agricultural economics

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
samahani wakubwa,naomba kufahamishwa kati ya hizo kozi mbili zinazotolewa katika vyuo vya mzumbe na SUA ni ipi nzuri ambayo naweza hata kujiajiri pindi nitakapomaliza masomo yangu?pia ile BA-economics ya udsm ni nzuri?asanten
 
Piga agro-economics ya sua dogo coz ni multpurpose yan unapga agriculture,busness na economics kwa wkt mmoja,hzo zingne co kivile,kutoka kwake ni hadi uwe na masters.
 
Soma project planning unaweza kupata ajira kirahisi ila zaidi nzuri kwa ajili ya kujiajiri mwenyewe.
 
jamani,vipi kuhusu bachelor of arts in economics ya udsm?
 
Nenda SUA, hizi nyingine ni nzuri ila ya Sua ni multipurpose
 
Kwanza,nakupongeza kwa kuwa na mawazo ya kujiajiri,pili,kwa ushauri wangu jaribu kusoma kitu ukipendacho!Katika elimu hakuna kitu kizuri kama unasoma kitu kilicho moyoni!Pesa na mafanikio ni matokeo ya juhudi katika kazi yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…