N NJALI JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 1,534 Reaction score 1,090 Jan 24, 2014 #1 Jamani wana janvi shahada tajwa hapo juu inaweza ikaruhusiwa kuchukua masters zipi? Somo la kufundishia ni Geography.
Jamani wana janvi shahada tajwa hapo juu inaweza ikaruhusiwa kuchukua masters zipi? Somo la kufundishia ni Geography.
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Jan 25, 2014 #2 Harusiwi kusoma masters
harakat JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 2,887 Reaction score 1,351 Jan 25, 2014 #3 Acha mambo ya ajabu garaduate mzima hujui cha kusoma hapo ,nenda kwenye web za vyuo angalia vigezo vyao fasta NRM UDOM inakuhusu na kozi nyingine nyingi tu pigana
Acha mambo ya ajabu garaduate mzima hujui cha kusoma hapo ,nenda kwenye web za vyuo angalia vigezo vyao fasta NRM UDOM inakuhusu na kozi nyingine nyingi tu pigana