Bachelor of Education in Psychology

Bachelor of Education in Psychology

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
hello jf members nimechagua hii programme ya bachelor of education in psychology sasa mi hata siielewi na hii ni baada ya kuambiwa na Tcu nifanye uchaguzi upya.

Nikishamaliza chuo naweza fanya kazi gani kwa hiyo prog. Yangu?
 
hello jf members nimechagua hii programme ya bachelor of education in psychology sasa mi hata siielewi na hii ni baada ya kuambiwa na Tcu nifanye uchaguzi upya. Nikishamaliza chuo naweza fanya kazi gani kwa hiyo prog. Yangu

Unaweza Kuwa Mtoto Wa Mtaani!
 
hello jf members nimechagua hii programme ya bachelor of education in psychology sasa mi hata siielewi na hii ni baada ya kuambiwa na Tcu nifanye uchaguzi upya. Nikishamaliza chuo naweza fanya kazi gani kwa hiyo prog. Yangu

Mkuu ni kozi nzuri sana nimeiulizia sana kwa wadau ila sasa kwa sasa wenye kusoma hiyo serikali haiwaajiri direct kama walimu wengine, kwa sasa mahitaji yametosha na ni kwa sababu pia walimu wote hadi wa diploma wamesoma psychology thus y uki specialize hapo kwenye mashule ya gvt wanaona ni hasara kukuajiri, hiyo imebaki special kwa wakufunzi ambao nao wamejaa

serikali kwa sasa inataka walimu wenye masomo mawili ya kufundishia ndio siri ya BAED kuwa priority ktk loan.

Kama huhitaji kuajiriwa post za ualimu ijaze mkuu hata kwenye taasisi binafsi utapiga kazi.

Mimi nimejaza kozi 5 na hiyo nimeiweka namba 3 ila ni kwakua ready nina dip yenye two subjects na nimesha ajiriwa so naenda kusoma kuongeza maarifa.
 
aksante sana ila hata mimi ni kama wewe tayari ninaajira diploma nafundisha masomo mawili
 
Kama tayari ni inservice we kasome tu uongeze cheti....huna haja ya kuwaza ajira.....!
 
hello jf members nimechagua hii programme ya bachelor of education in psychology sasa mi hata siielewi na hii ni baada ya kuambiwa na Tcu nifanye uchaguzi upya. Nikishamaliza chuo naweza fanya kazi gani kwa hiyo prog. Yangu

kiufupi umechagua kozi nzuri sana,kwanza utasoma ualim,pia utasomea saikoloji,lakin pia kwa kutumia saikoloji utakua mwanasaikolojia na unaweza kujiajiri mwenyewe,,,,pia unaweza kupata kazi kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali,hospitalini(hasa za vichaa),viwandani,Watu wa kada yako hufanya kazi AMREF,yupo mwanasaikolojia maarufu sana hapa Tanzania,Chriss Mauki(msake fb) ni mwalim wangu alinifundisha UDSM,huyu anaweza kukupa mwanga juu ya hii ishu,pia mtafute Dr kitla Mkumbo ambaye ana background ya Saikoloji,kifupi upo kwenye nafas nzuri ya kufanya mambo mazuri sana,B.A education Psychology is better than B.A education(mtazamo wangu)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom