Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
hello jf members nimechagua hii programme ya bachelor of education in psychology sasa mi hata siielewi na hii ni baada ya kuambiwa na Tcu nifanye uchaguzi upya. Nikishamaliza chuo naweza fanya kazi gani kwa hiyo prog. Yangu
Unaweza Kuwa Mtoto Wa Mtaani!
Utakua mwanasaikolojia (Psychologist)
waweza kuwa teja
yaleyale kufundisha milembe
hello jf members nimechagua hii programme ya bachelor of education in psychology sasa mi hata siielewi na hii ni baada ya kuambiwa na Tcu nifanye uchaguzi upya. Nikishamaliza chuo naweza fanya kazi gani kwa hiyo prog. Yangu
Mkuu ni kozi nzuri sana nimeiulizia sana kwa wadau ila sasa kwa sasa wenye kusoma hiyo serikali haiwaajiri direct kama walimu wengine, kwa sasa mahitaji yametosha na ni kwa sababu pia walimu wote hadi wa diploma wamesoma psychology thus y uki specialize hapo kwenye mashule ya gvt wanaona ni hasara kukuajiri, hiyo imebaki special kwa wakufunzi ambao nao wamejaa
serikali kwa sasa inataka walimu wenye masomo mawili ya kufundishia ndio siri ya BAED kuwa priority ktk loan.
Kama huhitaji kuajiriwa post za ualimu ijaze mkuu hata kwenye taasisi binafsi utapiga kazi.
Mimi nimejaza kozi 5 na hiyo nimeiweka namba 3 ila ni kwakua ready nina dip yenye two subjects na nimesha ajiriwa so naenda kusoma kuongeza maarifa.
aksante sana ila hata mimi ni kama wewe tayari ninaajira diploma nafundisha masomo mawili
waweza kuwa teja
aksante sana ila hata mimi ni kama wewe tayari ninaajira diploma nafundisha masomo mawili
Kama tayari ni inservice we kasome tu uongeze cheti....huna haja ya kuwaza ajira.....!