Msaada wana jamvi,naomba nifahamishwe hii kozi Bachelor of education in special needs ajira zake unafanya kazi wapi? na je,uhakika wa ajira upo? Pia nahitaji taarifa za field huwa wanafanyia wapi kwani naona shule zake ni chache sana hapa Tz. Mimi nimechaguliwa UDOM 1st year
Kazi zake zipo katika mashule ya watoto wenye mahitaji maalum karibu katika kanda zote za tz,uhakika wa ajira upo kama ilivyo kawa walimu wengine,field huwanywa katika shule hizo hizo ili uwezejua mazingira halisi ya kazi ikiwa ni pamoja na changamoto zilizopo.MWISHO Honera kwa kuchaguliwa kozi hiyo kwani mbali ya taaluma hiyo hukuweka karibu zaidi na Mungu kwa huduma ya watoto hao .

Mim pia nasoma hiyo koz, ukiachilia mbali hyo special needs education, wewe bado ni mwalimu wa kawaida, kwani unasoma kozi zote za education, plus 1 or 2 teaching subjects,
Kwa hyo field unaweza fanya katika shule au chuo chochote cha ualimu, na si lazima pawe na wanafunz wa mahitaji maalum. Mf. Mim mwaka huu nimefanya field chuo flan cha ualimu, na wenzangu kadhaa walifanya field mashulen.
By the way, karibu sana udom.
Mim pia nasoma hiyo koz, ukiachilia mbali hyo special needs education, wewe bado ni mwalimu wa kawaida, kwani unasoma kozi zote za education, plus 1 or 2 teaching subjects,
Kwa hyo field unaweza fanya katika shule au chuo chochote cha ualimu, na si lazima pawe na wanafunz wa mahitaji maalum. Mf. Mim mwaka huu nimefanya field chuo flan cha ualimu, na wenzangu kadhaa walifanya field mashulen.
By the way, karibu sana udom.
Msaada wana jamvi,naomba nifahamishwe hii kozi Bachelor of education in special needs ajira zake unafanya kazi wapi? na je,uhakika wa ajira upo? Pia nahitaji taarifa za field huwa wanafanyia wapi kwani naona shule zake ni chache sana hapa Tz. Mimi nimechaguliwa UDOM 1st year
Kuna jamaa'angu kamaliza hiyo kitu SEKUKO Tanga akitokea Dip ya education...
Baada ya kumaliza degree kakosa ajira,karudi darasani na chet chake cha diploma
asante mkuu kwa taarifa hiyo,binafsi nimeku elewa coz nami pia nimechaguliwa hiyo hyo hapo UDOM
Pamoja sama Flammable
nadhani tutawatafuta ili mtupe uzoefu
2takuwa College Moja Mkuu,ila Me Nipo Bed Guco,2kutane Octaber 12