Mi nimechaguliwa bachelor of education with special need udom.vp ajira zake zikoje mtu akimaliza?NAWAKARIBISHA WATU WOTE WENYE HEKIMA KWA MAWAZO YENGE HEKIMA
Unaweza kupelekwa chuo cha diploma ukawa mkufunzi, ukapangiwa sekondari za watu wenye ulemavu wa viungo au akili. Kama kutakuwa kumejaa unapelekwa sekondari za kawaida. Hiyo kozi inaitwa: "Bachelor of Education In special needs"(BED-SPED)
mdogo wangu usijal field utafanya hata sekondari mm nimesoma hapo Bed Guco watu km wa ww tulifanya nao field shuleni we muhimu ni kuwa makini umsikilize vizuri madam Pembe.