KISUNZU YP
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 114
- 37
Wadau habari za leo, naomba mwenye upeo wa kuelewa zaidi anipe ujasiri wa kuendelea na adhma yangu ya kwenda kusoma kozi tajwa hapo juu.
Mimi nipo kwenye system kama CO sasa mwaka huu wa masomo yaani 2022/2023 kuna kozi imeanzishwa bachelor yake ilikuwa ngazi ya Masters tu pale Mzumbe sasa changamoto yake ni kwamba bado haina ikama kwa sisi tulioajira kwa mamlaka za serikali za mitaa yaani Mkurugenzi.
Maana yake kufanyiwa Recategorization itakuwa issue sasa naomba kusaidiwa kwamba nikimaliza kozi hyo naweza fanya kazi gani na wapi???
Karibuni sipendi matusi