KISUNZU YP
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 114
- 37
Bachelor of health system management Haina ikama kivipi wakati wanaosoma hiyo Huwa makatibu wa afya?Wadau habari za leo, naomba mwenye upeo wa kuelewa zaidi anipe ujasiri wa kuendelea na adhma yangu ya kwenda kusoma kozi tajwa hapo juu.
Mimi nipo kwenye system kama CO sasa mwaka huu wa masomo yaani 2022/2023 kuna kozi imeanzishwa bachelor yake ilikuwa ngazi ya Masters tu pale Mzumbe sasa changamoto yake ni kwamba bado haina ikama kwa sisi tulioajira kwa mamlaka za serikali za mitaa yaani Mkurugenzi.
Maana yake kufanyiwa Recategorization itakuwa issue sasa naomba kusaidiwa kwamba nikimaliza kozi hyo naweza fanya kazi gani na wapi???
Karibuni sipendi matusi
Soma vizuri kozi hiyo ndugu. Siyo Health system managementBachelor of health system management Haina ikama kivipi wakati wanaosoma hiyo Huwa makatibu wa afya?
Hizo ni nakshi tu lakini kozi ni Ile Ile.Soma vizuri kozi hiyo ndugu. Siyo Health system management
Hii program iko chuo gani?Wadau habari za leo, naomba mwenye upeo wa kuelewa zaidi anipe ujasiri wa kuendelea na adhma yangu ya kwenda kusoma kozi tajwa hapo juu.
Mimi nipo kwenye system kama CO sasa mwaka huu wa masomo yaani 2022/2023 kuna kozi imeanzishwa bachelor yake ilikuwa ngazi ya Masters tu pale Mzumbe sasa changamoto yake ni kwamba bado haina ikama kwa sisi tulioajira kwa mamlaka za serikali za mitaa yaani Mkurugenzi.
Maana yake kufanyiwa Recategorization itakuwa issue sasa naomba kusaidiwa kwamba nikimaliza kozi hyo naweza fanya kazi gani na wapi???
Karibuni sipendi matusi
Nakushauri kwa sababu uko kwenye system nenda ukasome MD au pharmacy kama moja ya malengo yako ni kuongeza salary. Hiyo kozi unayo soma 3 years ukimaliza utaanza na TGS C au DWadau habari za leo, naomba mwenye upeo wa kuelewa zaidi anipe ujasiri wa kuendelea na adhma yangu ya kwenda kusoma kozi tajwa hapo juu.