Nilikuwa na ndoto za doctor of medicine na nilikuwa najiamini kuwa ningepata hata udom mana alama zangu hazikuwa mbaya kihivyo ila tayari TCU washafanya yao . Basi nimeshakubali hali halisi mana haya ndio maisha kakaWataalam watakuja kukupa ufatanuzi zaidi
Ulikuwa una ndoto za kuchukua course gani???
Nimeshafanya application ya hiyo program mkuu(jana usiku) ,na nimepewa message kwamba you are successfully selected. Vp hapo ni uhakika au utapita mchujo mwingine?
Nilikuwa na ndoto za doctor of medicine na nilikuwa najiamini kuwa ningepata hata udom mana alama zangu hazikuwa mbaya kihivyo ila tayari TCU washafanya yao . Basi nimeshakubali hali halisi mana haya ndio maisha kaka
Nimeshafanya application ya hiyo program mkuu(jana usiku) ,na nimepewa message kwamba you are successfully selected. Vp hapo ni uhakika au utapita mchujo mwingine?
Ahsante mkuu na je hv inawezekana baada yakufika chuo kuchange na kwenda program nyingine ambayo tayari TCU walishatuambia haina nafasi wakati wa first selection?
Dogo nenda kasomee hiyo hiyo ya maabara kwani kazi ni direct entry haina longolongo, kujiendeleza ukiwa kazini pia ni rahisi sana kuliko hata hao Doctors (MDs), pia ukitaka kuanzisha Laboratory yako vifaa ni rahisi na haina mzunguko kama Doctor akitaka kuanzisha Clinic yake
Bios-B ,Chem-B+ ,Phys-D (III- 10)
Mkuu na wewe uliomba kwenye hii second round au uliomba tangu mwanzo?Wenyewe nimepata hiyo program pale MUHAS nina B+ B+ D bios chemia & physics respectively...sema nina waswas na mkopo maana wanasema possible amount of loan ni zero! Je hapo inakuwaje wakuu msaada hapo!
Bios-B ,Chem-B+ ,Phys-D (III- 10)