Wakuu mwenye kufahamu chuo nchi za nje kinachotoa hii kozi naomba anifahamishe, au kama kuna anaesoma hii kozi pia naomba anifahamishe
Chandigarh university, kipo india wanatoa hii kozi.Wakuu mwenye kufahamu chuo nchi za nje kinachotoa hii kozi naomba anifahamishe, au kama kuna anaesoma hii kozi pia naomba anifahamishe
KCMC bado?Wakuu mwenye kufahamu chuo nchi za nje kinachotoa hii kozi naomba anifahamishe, au kama kuna anaesoma hii kozi pia naomba anifahamishe
Mimi nasoma nchini indiaWakuu mwenye kufahamu chuo nchi za nje kinachotoa hii kozi naomba anifahamishe, au kama kuna anaesoma hii kozi pia naomba anifahamishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oyaKaka unataka kuwa msajili wa Vyuo au Wa kozi za Afya maana hii naona Ni kozi ya sita unaulizia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]