Nicky nicky Senior Member Joined Aug 20, 2011 Posts 106 Reaction score 9 Jan 18, 2014 #1 Naomba kufahamishwa ipi ni nzuri kusoma kulingana na soko la ajira la sasa na hata kujiajili pia.Nawasilisha.
Naomba kufahamishwa ipi ni nzuri kusoma kulingana na soko la ajira la sasa na hata kujiajili pia.Nawasilisha.
Maganga Mkweli JF-Expert Member Joined Jul 14, 2009 Posts 2,089 Reaction score 829 Jan 18, 2014 #2 kwangu mimi ningeomba kujua una idea yeyote ya hizi kozi mbili...? ili tusaidiane kwenye hili kulijadili..
kwangu mimi ningeomba kujua una idea yeyote ya hizi kozi mbili...? ili tusaidiane kwenye hili kulijadili..