Bachelor of public health

Bachelor of public health

geezerlad

Senior Member
Joined
Dec 31, 2017
Posts
182
Reaction score
195
Habari, naomba kufahamishwa ni vyui gani kwa hapa Tanzania vinatoa degree ya public health?
 
Pitia tcu admission guides za mwaka 2023. Hata hivyo sidhani kama tumesha fikia huko.
 
Hakuna bachelor degree kwa jina hilo hapa bongo instead inaitwa Environmental health sciences inatolewa MUHAS.

Kwa jina hilo ipo Masters MPH nayo ipo MUHAS.

Kila jema mleta uzi.

#MaendeleoHayanaChama
Nashukuru
 
Ukweli ni kwamba environmental health Science siyo public health hata kama the environment is an important factor in the ecology of diseases. Jaribu Kenya au huko majuu.
 
Ukweli ni kwamba coz content za public health ndio hizo hizo na zaidi zipo kwenye environmental health...na zote lengo kuu ni prevention of diseases and promotion of health.

Kama kuna tofauti na lengo hilo weka hapa tumsaidie mleta mada.

Kazi wanazo zifanya public health officer wa kenya ndio hizo hizo zinazofanywa na env health officers wa tz.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukweli ni kwamba coz content za public health ndio hizo hizo na zaidi zipo kwenye environmental health...na zote lengo kuu ni prevention of diseases and promotion of health.

Kama kuna tofauti na lengo hilo weka hapa tumsaidie mleta mada.

Kazi wanazo zifanya public health officer wa kenya ndio hizo hizo zinazofanywa na env health officers wa tz.

#MaendeleoHayanaChama
Habari, naomba kufahamishwa ni vyui gani kwa hapa Tanzania vinatoa degree ya public health?
Bado nasisitiza kuwa environmental health kitaaluma siyo public health ingawa zinaingiliana. Kwa wenzetu walio mbali utakuta environmental health kama concentration area ( area of emphasis) mojawapo ya public health. Kuna other areas.
Ni kweli kuna masomo mengi Kwenye degree ya muhas utayakuta pia kwenye public health courses. Lakini hili halikufanyi uwe a public health specialist hata kama unaweza kufanya kazi zinazohusu aspects za public health.
Ushauri: kama unachotafuta ni degree ya kwanza ya public health ya muhas siyo. Kama unataka kufanya kazi in environmental health ya muhas bomba ambayo itakuwezesha hata kusoma MPH baadae.
 
Huna akili ila una kipaji cha kubishana.

Taahira.
 
Naomba nipe tofauti ya kozi content pia na utoafauti wa kazi wanazofanya env health officers wa bongo na public health officers wa kenya.

Lengo kuu la public health ni nini na lengo kuu la env health ni nni?

Tuanze na malengo: kuboresha na kulinda afya ya umma. Wengine huenda wakaongelea pia afya ya mazingira kwa environmental health.
Nimesema hapo juu eh ni one of the focus areas the ph hivyo hata kazi zinaweza kufanana kwa kiasi fulani lakini sio mia kwa mia.

Niliangalia kenyatta university nikakuta wana eh na community health degrees.
 
Masiya yaan upo sahihi kabisa naona unawaelewesha vijana ambao wana'majibu yao kichwani na wanataka ku'force iwe ndivyo sivyo.

Kiuhalisia upo 100% right, so swala la kukubaliana nawe au kukataa ni juu yao.

Kwa ambao wapo kwenye Medical Arena hili swala linaeleweka vzur kama ulivyolifafanua!

All the best Kwao!
 
Ukweli ni kwamba environmental health Science siyo public health hata kama the environment is an important factor in the ecology of diseases. Jaribu Kenya au huko majuu.
Kwa maana ya title Kati ya public health na environmental health ni tofauti ila content ni the same. Public health maana yake ni afya ya Uma. Ukiangalia mtaala wa environmental health ya muhas una focus kwenye public health sio environment in general kama inayotolewa kwenye vyuo vingine. Kwahiyo kama lengo ni kusoma public health kwenye level ya undergraduate hiyo ya muhas environmental health ndio hiyo.
 
Bado nasisitiza kuwa environmental health kitaaluma siyo public health ingawa zinaingiliana. Kwa wenzetu walio mbali utakuta environmental health kama concentration area ( area of emphasis) mojawapo ya public health. Kuna other areas.
Ni kweli kuna masomo mengi Kwenye degree ya muhas utayakuta pia kwenye public health courses. Lakini hili halikufanyi uwe a public health specialist hata kama unaweza kufanya kazi zinazohusu aspects za public health.
Ushauri: kama unachotafuta ni degree ya kwanza ya public health ya muhas siyo. Kama unataka kufanya kazi in environmental health ya muhas bomba ambayo itakuwezesha hata kusoma MPH baadae.
Tatizo wewe unachanganyikiwa na title kwenye professional huwa Kuna kitu kinaitwa related fields, huwa hatuangalii title tunaangalia content.
 
Bado nasisitiza kuwa environmental health kitaaluma siyo public health ingawa zinaingiliana. Kwa wenzetu walio mbali utakuta environmental health kama concentration area ( area of emphasis) mojawapo ya public health. Kuna other areas.
Ni kweli kuna masomo mengi Kwenye degree ya muhas utayakuta pia kwenye public health courses. Lakini hili halikufanyi uwe a public health specialist hata kama unaweza kufanya kazi zinazohusu aspects za public health.
Ushauri: kama unachotafuta ni degree ya kwanza ya public health ya muhas siyo. Kama unataka kufanya kazi in environmental health ya muhas bomba ambayo itakuwezesha hata kusoma MPH baadae.
Sina uhakika kama wewe uko kwenye hi field ya public health inaonekans huijui vizuri, master of public health inasomwa na watu wa field nyingi tu za undergraduate kwa mfano mtu was sociology, demography, anthropology ambao hats kimsingi hawajasoma natural science or hata medicine, pharmacy n.k.

Public health ni field inayotumia social science method kuliko natural science method kama experiment. Focus yake kubwa ni jamiii ndio maana mtu was sociology anaweza akafanya master ya public health.
 
Je mtu wa hkl anaweza fanya bachelor ya public health au environmental health??

Mana master mtu yeyoye mwenye bachelor anaweza fanya MBA.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sina uhakika kama wewe uko kwenye hi field ya public health inaonekans huijui vizuri, master of public health inasomwa na watu wa field nyingi tu za undergraduate kwa mfano mtu was sociology, demography, anthropology ambao hats kimsingi hawajasoma natural science or hata medicine, pharmacy n.k.

Public health ni field inayotumia social science method kuliko natural science method kama experiment. Focus yake kubwa ni jamiii ndio maana mtu was sociology anaweza akafanya master ya public health.
Kwani mimi nimesema je? Read carefully- ukisoma ehs Ukitaka baadae ufanye masters ya public health ni sawa. Hakuna contradiction kati na nilichosema na ulicho andika.
 
Back
Top Bottom