Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mzumbe wanatoa Masters of science in Accounting and Finance, Masters of a Science in Supply Chain Mgt. Kiukweli mpaka sasa nashindwa kuelewa, hii science inamaanisha nini!?Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science.
Na ina utafuti gani na BAF
kweli wajuvi waje aise wajilete wenye we.Mzumbe wanatoa Masters of science in Accounting and Finance, Masters of a Science in Supply Chain Mgt. Kiukweli mpaka sasa nashindwa kuelewa, hii science inamaanisha nini!?
au
Ni mbwembwe tu za kuvutia watu wakasome! Maana mambo ni yale yale, vitabu ni vile vile, sasa sijui labda kwakuwa kuna ongezeko la matumizi ya accounts packages?
Anyways, ngoja nami nisubiri wajuvi.
Kwa hiyo wanatumia scientific approaches kwenye tafiti au ni vipi?Labda science as approaches ktk baadhi ya kozi e.g research