Bachelor of science in chemistry and physics

Ipoje hii,na ni kwa muda gani?
Hiyo course kibongo ni changamoto, kama ukisoma mwisho wa siku itakubidi kuongeza mwaka mmoja kusoma postgraduate diploma in education Ili ukawe mwalimu.
 
Baadhi ya kozi zilizoanzishwa kisiasa kwenye vyuo vya UDOM na UDSM kuna kipindi zilifutwa zikarudishwa tena,

Fursa yake kubwa ipo kama atapiga GPA za juu hapo anaingizwa kwenye Idara za Kemia na Fizikia vyuoni lakini kimsingi hao sio walimu wa secondary labda baadhi wanaweza kufit kwenye Chemistry/Physics Lab.

Ni kozi ngumu sana, refer matokeo ya mwaka huu UDSM hasa hiyo Phy madogo wanalia na wengi huahirisha chuo wakifika katikati kwa lengo la kutaka kuja kubadilisha program. (Sikukatishi tamaa mwambie dogo akaze kama ana nia)
 
Yupo mmoja hapa aliomba ushauri alimaliza Bachelor degree in mathematics kuwa mwl hawezi sababu sio mwalimu yani kazi zake ni chache sana kuzipata mtaani.
 
Yupo mmoja hapa aliomba ushauri alimaliza Bachelor degree in mathematics kuwa mwl hawezi sababu sio mwalimu yani kazi zake ni chache sana kuzipata mtaani.
Wengi si ndo unawakuta kwenye tuition centres maana hawawezi kuomba ajira za Education, lakini kama mtu atapasua GPA kubwa atakuwa na bahati ya kupata mchongo kwenye Idara husika za vyuoni japo connection ina'matter pia.
 
Habarini wapendwa,kuna dogo langu kapangiwa hii kozi hapo UDSM,naomba kujua ipoje na hawa watu wanaajiriwa kama walimu au vipi?
Dunia imebadilika, wanaomaliza vyuo vikuu wengi hawapati ajira kwenye fani walizosomea . Kikubwa aende kusoma hiyo kozi ili kujiongezea fursa huko mbeleni , wakati anasoma ajiongeza na kujifunza jinsi gani ataweza kujiajiri kwa kutumia Elimu anayopata. Ualimu utampatia mahali pa kuanzia. Digrii ya chuo kikuu itamfungulia milango mingi zaidi
 
Yupo mmoja hapa aliomba ushauri alimaliza Bachelor degree in mathematics kuwa mwl hawezi sababu sio mwalimu yani kazi zake ni chache sana kuzipata mtaani.
Huyo angekua na exposure hakupaswa kukata tamaa. Angejiweka njema kwenye AI na ML angekua moto wa kuotea mbali! Sema bongo mtu hata kozi unachagua ilimradi uonekane uko chuo. No passion at all.
 
Mwambie abadilishe tu asome bsc education kama anapenda ualimu, hyo kozi ni kupoteza tu muda,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…