Chiya Chibi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 484
- 110
Kwa jins navyoifaham BCM nikwamba hawa ni Co ambao hawana uwezo Wa kwenda kusoma MD, so BCM watakuwa hawafanyi surgery (operation) ndio tofauti itakayowatofautisha na MD. Na ujue ukichukua BCM mwisho haina masters wala PhD.
Una uhakika unachokiongea kama watakaosoma hiyi kozi hawawezi kufanya masters wala PhD?
Kwa jins navyoifaham BCM nikwamba hawa ni Co ambao hawana uwezo Wa kwenda kusoma MD, so BCM watakuwa hawafanyi surgery (operation) ndio tofauti itakayowatofautisha na MD. Na ujue ukichukua BCM mwisho haina masters wala PhD.
Mkuu BCM wanaweza kusoma MD na wana advantage zaid.
Hii ni pure internal medicine. Soma kuhusu internal medicine utaelewa
Kwa jins navyoifaham BCM nikwamba hawa ni Co ambao hawana uwezo Wa kwenda kusoma MD, so BCM watakuwa hawafanyi surgery (operation) ndio tofauti itakayowatofautisha na MD. Na ujue ukichukua BCM mwisho haina masters wala PhD.
Acha kupotosha! Ikiwa AMO anaweza kufanya operation kwa nini BCM asiweze?
Kwa taarifa yako kuhusu operations AMO wako vizuri sana, na case ikimshinda AMO anaipeleka kwa surgeon/specialist wala siyo kwa MD! Majukumu ya AMO na MD kiutendaji yanafanana na AMO ana uzoefu zaidi.
Mimi nafanya kazi katika mazingira ya hospitali ya rufaa hizi kada mbili nazifahamu vizuri.
MD wenye akili huwa wanyenyekevu sana kwa AMO na huwa wanajifunza kwao vitu vingi vya kiuzoefu. Lakini wenye kiburi huchukua muda mrefu sana kupata competence katika fani yao, na Mara nyingi wakiwa zamu huwa wanakwepa operations kwa visingizio kibao!
Mkuu BCM wanaweza kusoma MD na wana advantage zaid.
Samahani wakuu mi nina swali, kwa hiyo mtu akisoma diploma ya Clinical Medicine akimaliza anaweza kusoma MD au ni lazima asome BCM?
Na pia kuna ndugu yangu amemaliza form 6 na hajafanikiwa kupata chuo, ameamua kuwa asome tu diploma ya Clinical Medicine, sasa nilisikia kuwa kwasababu kamaliza form 6 atasoma advanced diploma, je kuna ukweli hapo?
Nawasilisha jamani, msaada tafadhali.
Safi sana hii, ilikuwa ni kichekesho pale ambapo mtu mzima CO anapolazimika kurejea shule na kukimbizana na watoto wadogo wakati tayari ana uzoefu wa kutosha kazini.
Safi!
Uchaguzi unabaki juu yake,anaweza kusoma MD au hata BCM..
Sidhani kama kuna ukweli kwakuwa kamaliza form six atasoma advanced diploma,ila atasoma clinical medicine ngazi ya diploma tu kama wengne!