cutebulbul4
Member
- Sep 9, 2014
- 45
- 1
UGARI MAHARAGE uko sawa kabisa katika maelezo yako kwa ndugu yetu, karibu sana SUA lakini ni eneo zuri la kujiandaa na Maisha ya baadae!! Mimi niko pale WILDLIFE MANAGEMENT, Karibu sanaCoz hii inahusu kilimo cha mbogamboga(hasa bustani) ni nzuri sana kwa kujiajiri(endapo utapata maeneo yenye miundombinu mizuri pembezoni mwa dar es salaam na pwani) lakini ukitaka kuajiriwa ajira zake ni finyu sana na hakuna maslahi sana.
UGARI MAHARAGE uko sawa kabisa katika maelezo yako kwa ndugu yetu, karibu sana SUA lakini ni eneo zuri la kujiandaa na Maisha ya baadae!! Mimi niko pale WILDLIFE MANAGEMENT, Karibu sana
UGARI MAHARAGE uko sawa kabisa katika maelezo yako kwa ndugu yetu, karibu sana SUA lakini ni eneo zuri la kujiandaa na Maisha ya baadae!! Mimi niko pale WILDLIFE MANAGEMENT, Karibu sana
vipi kama nataka kubadili course is it possible?
Kabla hujawaza kubadili...je umeijua hiyo kozi inahusu nini?? au unaijua vipi?
Kwa nnavyojua ni kozi inayodeal na kilimo.. mwaka wa kwanza mta share kozi na wengine hasa wa agronomy na agric general!!
Kuna mdau hapo juu kasema inadeal na kilimo cha mboga,, kwa kuongezea tu...bustani.. ulimaji maua katika mashamba makubwa...kiujumla mazao karib yote yanayochukua mda mfupi kukomaa hawa wanadeal nayo!!
Kwa upande wa kazi...iko na nafasi kibwa sana kuanzia serikal hadi sekta binafsi!! bila kisahau kama unataka kujiajiri hapo ndipo penyewe!! kiukwel wengi hawaijui hii kozi...hasa soko lake hapa tz!!
Kuhusu kubadili koz, JE WATAKA BADILI KWENDA KOZI GANI? VIPI UFAULU WAKO?...yes its possible kubadiki...labda mwaka huu wakatae...muda wa kubadili ni wiki moja kama si ya pili ya kuingia chuo!! nakushauri ufikirie vizuri kabla hujaamua kubadili!! kila la heri!
asante sana kwakunielewesha, nilitaka kuamia food science and technology nimepata three ya 12 cbn , chem D bios C na nutrition B
Coz hii inahusu kilimo cha mbogamboga(hasa bustani) ni nzuri sana kwa kujiajiri(endapo utapata maeneo yenye miundombinu mizuri pembezoni mwa dar es salaam na pwani) lakini ukitaka kuajiriwa ajira zake ni finyu sana na hakuna maslahi sana.
Agricultural engineering inahusiana na ujenzi wa muundo mbinu ya kilimo ikihusisha kilimo cha mazao na ufugaji, so nayo pia ni kozi Nzuri ila changamoto zake ni kwanza unasoma miaka minne ingawa sio changamoto kubwa sana kwa anayejua kilichompeleka, pili niwe muwazi ingawa kozi zote za SUA ni ngumu lakini kwa ugumu baada ya Veterinary Medicine kwa ugumu ya pili ni Hii agricultural engineering hivyo ni lazima uwe tayari kusoma sana na kwa umakini iwezekanavyo maana ni engineering kama zingine, ila ni Nzuri pia ina ajira Maana muundo mbinu katika kilimo inahitajika kwa sana,so karibu SUA!!vip kuhusu agricult eng pale sua wadau